Katiba mbovu chanzo cha mgogoro Zanzibar-ADC
Chama cha ADC kupitia kwa Mwenyekiti wake Said Miraji kimesema kuwa mgogoro Zanzibar unasababishwa na ubovu wa katiba ya sasa ya Zanzibar ambapo amezitaka pande mbili zenye mgogoro kutatua suala hilo kidiplomasia.