Ukosefu maadili kwa viongozi tishio la usalama

Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chuo cha taifa cha Ulinzi ambaye pia ni Mhadhiri wa masomo ya mpango mkakati na historia katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Prof.Eginald Mihanjo

Tatizo kubwa la baadhi ya viongozi kuonekana kuwa tishio la ulinzi na usalama wa taifa limedaiwa kutokana na wengi wao kukosa malezi yanayozingatia maadili mema na nidhamu tangu wakiwa watoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS