Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa sheria Afrika
ZAIDI ya wajumbe 200 wa kada ya sheria kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanatarajia kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa majadiliano kuhusu masuala ya sheria barani Afrika unaoanza Jumatano mjini Arusha.