RT yaandaa kambi kusaka wanariadha Olimpiki 2016

Chama cha Riadha nchini RT kimesema kimeanzisha kambi ya mbio ndefu na fupi kwa ajili ya kutafuta viwango kwa wanariadha watakaoshiriki mashindano ya Olimpiki mwakani yatakayofanyika Rio De Janeiro nchini Brazil.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS