Wimbo wangu na King kaka haujabuma- Baraka
Msanii Baraka Da Prince amekanusha taarifa zilizopo za kubuma kwa wimbo wa Mola alioshirikishwa na msanii King Kaka toka Kenya, na kusema kuwa wimbo huo haujapata msukumo wa kutosha kuoka kwa King Kaka mwenyewe, pamoja na kolabo zilizotoka kwa wakati