Watu kuujua muziki ni changamoto kwetu -Cjamoker. Msanii na Producer Cjamoker ambaye ameachia wimbo wake wa Sijaona, amesema muziki wa sasa hivi watu wengi wana uelewa nao, hivyo inakuwa changamoto kubwa kwao wasanii. Read more about Watu kuujua muziki ni changamoto kwetu -Cjamoker.