Ben Pol: Wasanii tufanye mazoezi

Staa wa Muziki Ben Pol

Star wa muziki Ben Pol ametoa ushauri kwa wasanii wenzake kujituma zaidi katika kufanya mazoezi ya viungo na vilevile sauti katika kuboresha maonesho wanayofanya na kuendana na matakwa ya mashabiki wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS