ZEC yatakiwa kukaa na Seif kumaliza mgogoro Z'bar

Naibu Mkurugenzi Utawala, fedha, mipango na utatuzi wa migogoro chuo cha Diplomasia Dkt.Bernard Achiula

Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad wametakiwa kukaa meza moja na kutafuta muafaka wa tatizo la uchaguzi mkuu linaloendelea kwa sasa visiwani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS