Hatujapokea wimbo wa Roma - BASATA Baraza la Sanaa Taifa BASATA limekanusha kupokea wimbo mpya wa msanii Roma Mkatoliki, ambaye alitoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa anaenda kuwasikilizisha ili aweze kuuachia rasmi. Read more about Hatujapokea wimbo wa Roma - BASATA