Mabadiliko tabia nchi yaanza kuleta madhara Same

Mmoja wa wafanyakazi wa Kiwanda cha Tangawizi Mamba Miamba, wilayani Same mkoani Kilimanjaro,

Hali ya uzalishaji wa mazao ya chakula mkoani Kilimanjaro sio ya kuridhisha kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa kukosa mvua kwa wakati na kusababisha wakazi eneo hilo kuwa katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS