Nishawahi kuchapwa na mama sababu ya Aifola- Linex Kama ulikuwa hujui kuhusu wimbo wa Aifola wa msanii Linex, fahamu kuanzia sasa kuwa jina la Aifola sio la mtu bali ni eneo ambalo msanii Linex alikuwa anapenda kwenda kuogelea alipokuwa mdogo. Read more about Nishawahi kuchapwa na mama sababu ya Aifola- Linex