Stars kujipima na Tucks Fc Jumapili wiki hii

Kikosi cha Stars kikiendelea na mazoezi Uwanja wa kituo cha michezo cha Edenvale Afrika Kusini

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Jumapili kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya University of Pretoria (Tucks FC) jijini Johannesuburg ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Algeria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS