JK aaga kwa kusamehe wafungwa zaidi ya 4000

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungua Mkono waliojitokeza katika uwanja wa Uhuru

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4160 ikiwa ni muda mfupi kabla ya kuaga na kumpisha mrithi wake Rais Dkt. John Magufuli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS