Kocha wa Stars Mkwasa akiwa na wachezaji wakiendelea na mazoezi Uwanja wa kituo cha michezo cha Edenvale.
Watanzania wametakiwa kutokuwa wepesi wa kumlaumu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kwa makosa yanayotokea bila kumpa muda na kuangalia kiwango cha timu.