ATE yataka Dkt. Magufuli kushughulikia Kero zao
Chama cha waajiri nchini Tanzania (ATE), kimeorodhesha baadhi ya mambo yanayotakiwa kufanyiwa kazi na serikali ya Rais Dkt. John Magufuli ili kuleta tija kazini na kuboresha mazingira ya kazi miongoni mwa wafanyakazi.