Samatta na Ulimwengu ni mafanikio kwa Tanzania-TFF Shirikisho la soka nchini TFF limesema mafanikio ya Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu katika klabu ya TP Mazembe kwa kutwaa ubingwa wa Afrika ni mafanikio kwa watanzania kwa ujumla. Read more about Samatta na Ulimwengu ni mafanikio kwa Tanzania-TFF