TGNP yataka utakelezaji ahadi kwa viongozi wateule

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi.

Mtandao wa Jinsia nchini Tanzania(TGNP) umesema kuwa unategemea serikali iliyoingia madarakani itatekeleza ahadi zake pamoja na kuzingatia usawa wa kijinsia katika kuundwa kwa Serikali kutokana na Tanzania kusaini Mikataba mbalimbali ya kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS