Kibadeni kocha mkuu Bara michuano ya Challenge
Mshambuliaji wa zamani wa Tanzania na Simba SC, Alhaj Abdallah Seif ‘King Kibaden’ ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya Tanzania Bara, itakayoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge 2015 nchini Ethiopia.