Ligi ya Muungano Netball kufanyika Desemba 5 Ligi kuu ya Mpira wa Pete inatarajiwa kuaanza kutimua vumbi desemba tano mpaka 16 visiwani Zanzibar kwa kushirikisha vilabu 12 kutoka Tanzania bara na visiwani. Read more about Ligi ya Muungano Netball kufanyika Desemba 5