Serikali itolee ufafanuzi elimu bure - Mnzava

Mwenyekiti wa shirikisho la wamiliki wa shule na vyuo binafsi Mrinde Mnzava ameitaka serikali kutolea ufafanuzi tamko la Mhe. Raisi Magufuli kuhusu kutolewa bure elimu ifikapo mwakani, ili isije ikawachanganya wananchi na shule binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS