Kipindupindu chatikisa Dodoma, chaua wanne

Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Dk Jasmin Tiisekwa

Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kushika kasi katika wilaya ya Dodoma ambapo hadi sasa watu 4 wamefariki dunia na wengine 54 wameugua ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS