Tanzania yasifiwa kwa mazingira ya uwekezaji
Tanzania imetajwa kuwa nchi pekee barani Afrika kuwa na vivutio vingi vya uwekezaji, sifa inayoiweka kwenye mazingira mazuri ya kuendelea kiuchumi kutokana na idadi kubwa ya wawekezaji kuja kuwekeza nchini.