Mwanasiasa kuwa msanii ni sawa - Chege Msanii toka pande za Temeke Chege Chigunda amesema kitendo cha mwanasiasa kuamua kuingia kwenye tasnia ya muziki ni sawa kwani kama binadamu mwingine, anaweza akawa na kipaji zaidi ya kimoja. Read more about Mwanasiasa kuwa msanii ni sawa - Chege