Watanzania watakiwa kujitokeza Taifa Jumamosi Watanzania wametakiwa kujitokeza siku ya Jumamosi uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwapa hamasa wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars katika mechi dhidi ya Algeria. Read more about Watanzania watakiwa kujitokeza Taifa Jumamosi