Uswazi
Kutana na mtu anayedai kuwa ni mtume wa Mungu, ambaye kwa madai yake anasema hajazaliwa ila ameshushwa kwa uwezo wa mungu na kudai kuwa yeye ni mtume wa mitume , Uswazi iliongea na majirani, mjumbe pamoja na mama yake, Usikose...Jumapili saa 12