NEEC, ESAURP waungana kuwawezesha wafanyabiashara

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng'i Issa

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC),limesaini hati ya makubaliano ya ushirikiano na taaasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki na kusini(ESAURP),katika utafiti na ujengaji uwezo wa wafanyabiashara wadogo na wa kati(SME)

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS