Ngumi taifa waomba msaada wa vifaa vya mazoezi
Timu ya taifa ya mchezo wa ngumi imeomba watanzania kujitokeza kwa ajili ya kusaidia vifaa mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kuwania kufuzu michezo ya Olimpiki inayotarajiwa kufanyika hapo mwakani nchini Brazil.