Timu ya taifa ya judo kupatikana Desemba mwaka huu Mashindano ya taifa ya judo ya kutafuta timu ya taifa ya Tanzania Bara itakayoshiriki michuano ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about Timu ya taifa ya judo kupatikana Desemba mwaka huu