Wabunge waanza kuwasili Dodoma. Wabunge wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameanza kuwasili mjini Dodoma na kujisajili tayari kwa kikao cha Bunge la kumi na moja kitakachoanza Jumanne wiki ijayo. Read more about Wabunge waanza kuwasili Dodoma.