CHADEMA yataka ripoti ya kifo cha kada wake
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe, amesema wamepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita na mgombea Ubunge Jimbo la Busanda, Alphonce Mawazo.