Wema Sepetu kanihamasisha kuimba muziki - Leyla

Msanii wa kike ambaye ameingia kwenye muziki wa Bongo Flava na kuachia wimbo wake mmoja wenye mahadhi ya Reggae Leyla Walden, amesema msanii Wema Sepetu ndiye aliyemuhamasisha kuingia rasmi kwenye muziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS