Mabeste asogeza ndoa yake mwakani
Baada ya kipindi kirefu cha ukimya kuto staa wa muziki Mabeste alipotangaza nia yake ya kurasimisha mahusiano yake na Lisa Karl, mama mtoto wake, staa huyo ametangaza kuwa, mpango huo wameamua kuukamilisha mwaka ujao.