Sitaki binti yangu afanye muziki - Q Chief Msanii Q Chief amesema pamoja na yeye kupata mafanikio makubwa kupitia muziki, ana mtoto wake wa kike ambaye ana kipaji cha muziki kumzidi yeye, lakini hataki ajiingize kwenye tasnia hiyo kwa sasa. Read more about Sitaki binti yangu afanye muziki - Q Chief