Fibroids ilinirudisha nyuma - Witness Msanii Witness amesema kwa sasa yupo tayari kuachia nyimbo yake inayoitwa BUKU JERO pamoja na nyimbo nyingine, baada ya kupona ugonjwa wa uvimbe katika kizazi uliokuwa ukimsumbua kwa takribani miezi minne. Read more about Fibroids ilinirudisha nyuma - Witness