Lamar Odom anajifunza jinsi ya kutembea na kula. Pamoja na taarifa kwamba mchezaji wa NBA Lamar Odom kuwa anaendelea vizuri, madaktari wamesema wana wasiwasi na hali ya mchezaji huyo kwa kuwa amepata matatizo kwenye ubongo wake. Read more about Lamar Odom anajifunza jinsi ya kutembea na kula.