Muziki wa Bongo umejaa siasa - Q Chief Msanii Q Chief amesema muziki wa Bongo umetawaliwa na siasa, kitendo ambacho kinawachanganya wasanii na kufanya washindwe kufanikiwa katika mambo yao ya kimuziki Read more about Muziki wa Bongo umejaa siasa - Q Chief