Ajali za barabarani watu 357 wamepoteza maisha

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Tanzania, DCP Mohamed Mpinga Pichani

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Tanzania, DCP Mohamed Mpinga amesema kwa kipindi cha miezi kumi mwaka huu kumetokea kwa ajali za barabarani 823 ambapo watu 357 wamepoteza maisha na wengine 1,021 wamejeruhiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS