Kolabo za nje zinawatoa wasanii- Mona gangstar

Mtayarishaji wa muziki kutoka studio za Classic sound Mona Gangstar amesema kitendo cha wananmuziki wakubwa toka nje ya Tanzania kukubali kufanya collabo na wasanii wa hapa nchini, ni moja ya dalili ya kuonyesha kuwa muziki wetu unakuwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS