Abrams amsafisha Lupita
Kufuatia ripoti za kufutwa kwa baadhi ya vipande alivyoigiza staa wa maigizo Lupita Nyon'go ndani ya Star Wars, muongozaji wa filamu hiyo JJ Abrams, ameibuka na kukanusha taarifa hizo na kueleza kuwa, kazi aliyofanya mwanadada huyo ni ya aina yake.