Sapoti zampa mzuka Belle 9
Katika kipindi hiki ambacho kuna mvutano mkubwa juu ya wasanii bora hapa Tanzania hususan kwa upande wa mashabiki, nyota wa muziki Belle 9 amesema sapoti ambayo amekuwa akipata katika muziki wake, ameamua kuihamishia katika kufanya kazi nzuri.