Azma afanikisha kolabo moja Nai
Msanii wa muziki Azma Mponda ambaye yupo jijini Nairobi, amefanikisha kolabo kubwa kabisa nchini humo ya projekti inayokwenda kwa jina 'Coming', wakimshirikisha mfale wa rap Kenya, Khaligraph, Singa Babz na Cara Feral.