Simba yawatupia virago Pape Ndaw na Sserunkuma
Klabu ya Simba imetangaza kuachana rasmi na washambuliaji wake wawili wa kimataifa Pape Abdoulaye Ndaw raia wa Senegal na Simon Sserunkuma Raia wa Uganda huku ikimrudisha mshambuliaji wake Paul Kiongera aliyekuwa KCB ya Kenya.