Mikoa 10 kushiriki Taifa Cup Dodoma Novemba 22 Jumla ya mikoa 10 imethibitisha kushiriki katika mashindano ya taifa Cup kwa mpira wa kikapu inayotaraji kuanza kutimua vumbi Novemba 22 hadi 29 mwaka huu mjini Dodoma. Read more about Mikoa 10 kushiriki Taifa Cup Dodoma Novemba 22