Nikki Mbishi asafisha hewa Staa wa Muziki wa Hip Hop Nikki Mbishi Staa wa Muziki Nikki Mbishi ametoa kauli ya hisia kukanusha kulenga mtu ama kundi fulani kupitia lawama zake za Muziki wa Hip Hop na Wana Hip Hop halisi kutawaliwa na mtu mmoja kutokana na mfumo uliopo. Read more about Nikki Mbishi asafisha hewa