Lipuli FC yatamba kukwea ligi kuu msimu ujao
Uongozi wa timu ya Lipuli ya mkoani Iringa umesema upo kwenye mkakati kabambe wa kuhakikisha timu yao inapambana na kuhakikisha wanaipiku Ruvu Shooting na kukwea ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao.