Vilabu vyatakiwa kuwa na leseni kushiriki CAF
Shirikisho la soka nchini TFF limesema wasimamizi wa soka hapa nchini wanatakiwa kuhakikisha kila klabu ina leseni ili kuweza kushiriki mashindano ya Kimataifa yanayosimamiwa na shirikisho la soka barani Afrika CAF.