Kili Stars kama Barcelona, yaichapa 4 Somalia

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars Elius Maguli.

Ushindi wa Stars hii leo ni kama vile walivyofanya vinara wa ligi kuu ya soka ya Hispania maarufu kama La Liga Barcelona hapo jana usiku kwa kuwafurusha mahasimu wao wakubwa Real Madrid kwa jumla ya mabao 4-0 katika uwanja wa Santiago Bernabeu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS