Stamina: Niliongozwa na hasira Rapa Stamina Rapa Stamina ametolea ufafanuzi maneno makali aliyotumia dhidi ya baba yake mzazi katika rekodi yake ya Mr. Boniventure ambayo ameiachia kama zawadi ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa mashabiki. Read more about Stamina: Niliongozwa na hasira