Kill Stars na Rwanda kesho michuano ya Chalenji
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara The Kilimanjaro Stars kesho inashuka dimbani kumenyana na Rwanda katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Chalenji baada ya hapo jana kuibuka na ushindi wa bao 4-0 dhidi ya Somalia.