Said Fella sasa kusaidia wazanzibar
Diwani wa kata ya Kilungule Said Fella aka Mkubwa Fella hivi sasa anaendelea kutoa sapoti yake kwa kuendelea kufufua vipaji vya wasanii wa muziki ambapo ameelekeza nguvu zake kisiwani Zanzibar kuinua viapaji hivyo.